Afisa Mnadhimu namba wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi
wa Polisi (ACP) Japhet Lusingu akitoa ufafanuzi wa mada mbalimbali
zilizojadiliwa kati ya Jeshi hilo na wadau wa Polisi Jamii Mkoa wa
Arusha katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Bwalo la Afisa wa Polisi
(Police Officers Mess) mwishoni mwa juma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni