

Anaendelea >>‘kwa style hii hakuna atakae toka i swear to god!!!! Mimi kila siku najifunza ili siku moja nifanye kazi ninayoipenda kwa umakini sio kutengeneza video tu!!!!’
Kingine ameandika>>’Wengine wanaona kushika kamera na kushot ndio mwisho, tunafanya kazi na watu wengine njee tunajifunza sana vitu mkiona nimenyamaza mnaona km f**a vile, ngoja sasa, ota kwanza pata watoto waende shule, jenga nyumba, acha kutumia choo cha baba‘
Adam Juma kamaliza kwa kuandika >>’kama ni shabiki unadomo peleka kwenye sehemu flani amazing za unaempenda kabla kuhujanitest!!! Muda wa majeruhi ukiingia kwenye 18 zangu nakupendezesha alafu tunakuaga leaders’.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni