Entertainment
Maneno ya Ommy Dimpoz baada ya kusikia mdundo mpya wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ ambao umemchana
“Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako
inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba
unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini
wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana
kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu
ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani
vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata
mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati
wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza
Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost
demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 
nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 
Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana
katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri
atakwambia kama jogoo anawika au vipi
Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy#ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema
”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni