
Huku
taarifa tofauti zikienea kuhusu usajili mkubwa wa Angel Di Maria kutoka
Real Madrid, Leo Manchester United imecheza na Sunderland kwenye
English Premier League na kutoka sare ya mabao 1-1. Wachambuzi wa soka
wanasema ujio wa Louis van Gaal lipigiwa mahesabu kuwa Man United
walitakiwa kwa sasa wawe na Point sita na sio moja waliyonayo sasa.
Haya matokeo mengin
e
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni